Jipatie maarifa kutoka vitabu bora vilivyoandikwa na Dr Brighton shoo kuusu imani, sayansi, afya, teknolojia, asili, malezi, saikolojia na mazingira

Jua ndiyo Msingi wa Uanaume Afrika, sio Mahindi, Ngano, wala Mchele

Jua ndiyo Msingi wa Uanaume Afrika, sio Mahindi, Ngano, wala Mchele

Jua ndiyo Msingi wa Uanaume Afrika, sio Mahindi, Ngano, wala Mchele



kwa wanaume wa Kiafrika, ambao nao kiwango kikubwa cha mwanga wa jua huwasisimua sana kuzalisha ‘’NO’’ kuanzia asubuhi, ambayo huchochea damu nyingi kuingia katika uume, na kuwaongezea nguvu za kiume. vyakula vingi wanavyokula huwa vya asili ya nyama, na bidhaa za wanyama; mfano jamii nyingi za wamaasai hula nyama, maziwa, na damu mbichi kidogo. Jamii nyinginezo nyingi hula nyama kidogo, vyakula vingi vya mizizi, mtama, magimbi, na wengi wao hula vyakula visivyokobolewa, au ondolewa kambakamba. Huviandaa kwa kuchemsha, au kuchoma tu. 

Ulaji wa mtindo huu huwafanya kuwa na kiwango kikubwa cha cholesterol ambayo hubadilishwa na mwili kuunda homoni za pregnenolone, na kisha huunda homoni zote za uzazi kuanzia Testosterone ambayo huwaongezea sana nguvu za kiume, maumbile makubwa ya mwili, na tabia za kujiamini. Lakini pia huundwa DHEA, PGs, Estrogens, na hata Vitamin D, ambayo wao kupitia Jua kwa nyakati nyingi hupata UVB ambayo husaidia kukamilisha kuiunda. Vitamin D ndiyo huwasaidia kufyonza madini mengi ya Calcium katika utumbo. vyakula vingi vya Waafrika vya mizizi na mbegu huwa na madini mengi sana kama ya magnesium, zinc, copper, iron, Cobalt, n.k. hii kemia ndiyo ilifanya iwe ngumu sana kwa Waafrika kuumwa.

Waafrika wana uwezo mkubwa sana wa kimapafu, na hii inatokana na ukubwa wa vifua vyao, na asili ya metabolikia zao kuwa chini. Huweza kustahimili vipindi virefu sana vya kazi ngumu bila oksijeni ya kutosha, asili iliwaandaa kwa ajli ya kuwinda, na kwa ajili ya safari. Waafrika wana uwezo mkubwa sana wa kuzikabili stress kwa kuwa mwanga wa jua hasa wa asubuhi kwa asili huzuia zisizalishwe homoni za ‘’Vasopressin’’, hii huwafanya ku relax sana katika maamuzi magumu ambayo huwa wanayaamua. Hali hizi hazipo tena kwa Nguvu kubwa ya serikali zao zinazowaondoa Juani, kuwafanya washinde makazini ndani ya majumba, na kuwalaza kwenye Mataa ya kisasa ‘’LED Lights’’ 24/7. Ajabu eti kwao hayo ndiyo maendeleo.