Jipatie maarifa kutoka vitabu bora vilivyoandikwa na Dr Brighton shoo kuusu imani, sayansi, afya, teknolojia, asili, malezi, saikolojia na mazingira
Je wajua kuishi vijijini ni msingi wa Afya na ulinzi Kwa kuishi katika misitu, au maeneo yenye miti mingi; mimea huwa na tabia ya kufyonza mionzi yot…
Mwafrika Haitaji Serikali Kibiolojia Mwafrika alikuwa bora sana kiafya, na hata kimazingira baada ya kugunduliwa Bara la Afrika na wakoloni. Lakini…
NONDO YA TANO Sheria ya "Wollf's law' inasema kuwa, "kadri unavyoongeza kani katika mifupa, basi mifupa huongezeka uimara". …
Samaki ni zaidi ya Viwanda Afrika Waafrika kwa asili huwa na makazi yao kuzunguka sana vyanzo vya maji kama maziwa, bahari, au mito mikubwa. Makazi h…
Jua ndiyo Msingi wa Uanaume Afrika, sio Mahindi, Ngano, wala Mchele kwa wanaume wa Kiafrika, ambao nao kiwango kikubwa cha mwanga wa jua huwasisimua …
Wanawake wa Kiafrika na Sifa kubwa ya Uzazi Wanawake wa kiafrika wanafahamika kwa sifa yao kubwa sana ya uzazi, na hii ni kutokana na kiwango kikubwa…
Waafrika ni Wakubwa kimwili kiasilia, sio kwamba wanakula sana Waafrika wengi wa kanda za Tropiki wana asili ya miili mikubwa, hii ni kutokana na nam…
Waafrika wagonjwa wanakula sana Waafrika wengi wamekuwa waraibu sana wa vyakula vya wanga kwa zama hizi, na hii ni kutokana na ulimaji ulioshamiri sa…
Siri ya Afya za Waafrika sio Chakula Afya bora ya hizi Mitochondria ndiyo huwafanya Waafrika kuishi miaka mingi sana, maana asilimia 95% ya homoni za…
Mwanga Ni Chakula Kikuu Afrika Kabla hatujaanza kwa kina ni muhimu kutambua maisha yanatumia nishati ya mwanga wa jua, sote tunakula mwanga. Mimea hu…
Upi ni mlo unaotibu magonjwa mengi zaidi ukilinganisha yote? Mlo aina ya ‘’Ketogenic diet’’, ambao unahusisha kutumia kiwango kikubwa sana cha mbogam…
Je muda wa kula unaamua matokeo ya afya ya mlaji? Kuna mgogoro mdogo kati ya ni upi muda sahihi zaidi wa kula, na hasa ni kati ya wanaoamini muda sah…
Je kuna sababu za kisayansi za Kutokula Nguruwe, Bata, Kambare, kama Walawi 11? Wapo Wanyama wengi sana ambao ukila tu unaweza kufa papohapo, mfano; …