Jipatie maarifa kutoka vitabu bora vilivyoandikwa na Dr Brighton shoo kuusu imani, sayansi, afya, teknolojia, asili, malezi, saikolojia na mazingira

NGUVU KUBWA YA MAJI YA GHARIKA

Nguvu Kubwa Ya Ajabu Ya Supercritical Water Sawa Na Mabomu Ya Hydrogen Trilioni 1800

Nguvu Kubwa Ya Ajabu Ya Supercritical Water Sawa Na Mabomu Ya Hydrogen Trilioni 1800

Baada ya kupasuka kwa Dunia katika umbali wa kuelekea maili 46,000. Na upana wa mpasuko huo ulikuwa kuelekea maili 1400. Na pia kumbuka nilisema awali kuwa, tabaka la juu la dunia lilikuwa na urefu wa maili 60. Sasa basi, ukitumia nadharia ya kuwa maji yalipaishwa juu kutokana na mgandamizo wa uzito wa nchi iliyokuwa juu, hayo maji hayatakuwa na nguvu za kutosha za kurusha vitu hata nje ya mvuto wa gravitation ya dunia. kwa maana, ili kitu kivuke mvuto wa gravitation ya dunia, kiende walau na spidi ya 11Km/s. nini hasa kilichopelekeaa maji ya scw kuwa na nguvu ya ajabu?

Michoro hii inaonyesha kilichotokea katika siku ya kupasuka kwa vilindi vya miamba ya dunia, na kuanza kwa mabadiliko..

To be continued...