FIZIKIA YA UIMARA WA MWILI
NONDO YA 6
Ulimwengu unatawaliwa na wenye spidi kubwa zaidi, katika kitabu Cha "anatomy of restlessness" inaonyeshwa Kwa kadri unavyotembea ndivyo unavyokuwa na Nguvu na maarifa zaidi. Katika kitabu Changu Cha Ubongo wa Mtu mweusi", nimeeleza kuwa Binadamu ndiye mnyama mwenye spidi kubwa zaidi, na ndiyo maana hata watoto wake wanazaliwa wakiwa hawajiwezi tofauti na wanavyozaliwa watoto wa wanyama wengine kama Ng'ombe. Nyonga ya Binadamu ilifanywa kuwa nyembamba na ndogo ili aweze kuwa na spidi zaidi, jambo ambalo likamfanya azae watoto wasiokamilika kabisa. Macho ya Binadamu yana Kiini cheusi "dark iris" na kuzungukwa na rangi nyeupe "white sclera", ili awe na Focus kubwa ya kuona mbali. Ng'ombe na wengine Wala nyasi hawawezi kuona mbele vizuri na hawawezi kwenda mbali vizuri zaidi. Binadamu ni Binadamu Kwa kuwa anaweza kukimbia zaidi ya wengine wote hata juani "Master of thermal regulation', anaweza kupanda kwenye miti, anaweza hata kuogolea na ndiyo maana sote tunazaliwa tukiweza kuogelea "diving reflex", kipindi Binadamu amefika hata mwezini, binadamu anayekaa chini zaidi anavunja Sheria ya ubora wa Binadamu na atakuwa mtumwa milele.Katika Fizikia ya kisasa "modern physics', "Albert Einstein ' alionyesha ukiweza kwenda na spidi kubwa mpaka ukafika spidi ya mwanga, hata muda hutauhisi "zero time". Hii ni sawa na kusema, ukiwa na spidi kubwa sana unaweza ishi milele, wanafizikia kadhaa kinadharia huamini ukivuka spidi ya mwanga, unaweza hata Rudi nyuma ya Wakati, jambo ambalo binafsi sikubaliani nalo maana huvunja Sheria za utendaji "Causality'. Lakini hata hivyo, Kupitia Mtaalamu wa "Mitochondria', mwanabiofizikia na Mpasuaji wa Ubongo 'Jack kruse', ni dhahiri kuwa spidi kubwa ya matendo ya Mitochondria ktk kuzalisha nishati, hupelekea Muda kwenda haraka sana jambo ambalo hufanya mwili kuchelewa kuzeeka. Hii ni sawa na kusema, ili masaa yawe sawa Kwa watazamaji wa maeneo yote wa tukio linalofanyikia sehemu ya mbali iliyotofauti kimuda, spidi ya muda katika satalaiti- GPS" angani, inapaswa kuwa fasta zaidi ya spidi ya muda Duniani, hii inaitwa "Time dilation'.
Watu wenye afya Kwa kujishughulisha na shughuli za misuli huwa fasta, na wenye spidi kubwa. Mungu ana spidi kubwa zaidi ndiyo maana aliweza kuumba Kwa siku sita Dunia nzima, Mungu alifanya kazi, na alitoa agizo kuwa siku sita ni za kazi, Sio kukaakaa chini. Biblia imeandika Utakula Kwa Jasho, na Miiba. Waafrika Wanaongoza Kwa Umasikini na shida za kisaikolojia na IQ ndogo kutokana na uvivu, Waafrika walitawaliwa na watu waliotembea umbali mrefu wao wakiwa wamelizika Kwa kukaa tu eneo Moja. Mungu anapenda watu walio imara kimwili na akili Kwa kuwa Ubongo nao ni mwili, unapofanya mazoezi pia Ubongo unafanya mazoezi. Mungu anajiita Mungu wa Majeshi, na alionyesha kupitia Musa, Yoshua, Daudi, Samson, Yohana mbatizaji, Paulo, hata na Yesu mwenyewe kuwa havutiwi na walio wadhaifu. Ijapokuwa vita yetu si ya damu na Nyama, lakini ukweli ni kuwa: imeandikwa "Vidhaifu 'vyovyote' havitaurithi ufalme'.
Pata Nakala kamili
+255 7406 10988
Dr Brighton Shoo
brightonshoo7@gmail.com
REFERENCES
American College of Sports Medicine. (2021). ACSM’s guidelines for exercise testing and prescription (11th ed.). Wolters Kluwer.
Berg, J. M., Tymoczko, J. L., Gatto, G. J., & Stryer, L. (2019). Biochemistry (9th ed.). W.H. Freeman.
Buettner, D. (2012). The Blue Zones. National Geographic.
Czeisler, C. A., & Buxton, O. M. (2017). Sleep and circadian rhythms in humans. McGraw-Hill.
Einstein, A. (2015). Relativity: The special and the general theory. Princeton University Press.
Guyton, A. C., & Hall, J. E. (2021). Textbook of medical physiology (14th ed.). Elsevier.
Kandel, E. R., Koester, J. D., Mack, S. H., & Siegelbaum, S. A. (2021). Principles of neural science (6th ed.). McGraw-Hill.
Lieberman, D. E. (2013). The story of the human body: Evolution, health, and disease. Pantheon Books.
Lieberman, D. E. (2015). Exercised: Why something we never evolved to do is healthy and rewarding. Pantheon Books.
McArdle, W. D., Katch, F. I., & Katch, V. L. (2015). Exercise physiology: Nutrition, energy, and human performance (8th ed.). Wolters Kluwer.
Nelson, D. L., & Cox, M. M. (2021). Lehninger principles of biochemistry (8th ed.). W.H. Freeman.
Nicholls, D. G., & Ferguson, S. J. (2013). Bioenergetics 4. Academic Press.
Powers, S. K., & Howley, E. T. (2018). Exercise physiology: Theory and application to fitness and performance (10th ed.). McGraw-Hill.
Ratey, J. J. (2008). Spark: The revolutionary new science of exercise and the brain. Little, Brown.
Reece, J. B., et al. (2020). Campbell biology (12th ed.). Pearson.
Rhoades, R. A., & Bell, D. R. (2018). Medical physiology (5th ed.). Wolters Kluwer.
Sapolsky, R. M. (2004). Why zebras don’t get ulcers (3rd ed.). Holt Paperbacks.
Ungar, P. S. (2007). Evolution of the human diet. Oxford University Press.
Booth, F. W., Roberts, C. K., & Laye, M. J. (2012). Lack of exercise is a major cause of chronic diseases. Comprehensive Physiology, 2(2), 1143–1211.
Hawley, J. A., et al. (2014). Integrative biology of exercise. Cell, 1594), 738–749.
Holloszy, J. O. (1967). Biochemical adaptations in muscle. Journal of Biological Chemistry, 242(9), 2278–2282.
Pedersen, B. K., & Febbraio, M. A. (2008). Muscle as an endocrine organ. Physiological Reviews, 884), 1379–1406.
Hardie, D. G. (2015). AMPK regulation. Genes & Development, 29(5), 451–462.
Kahn, B. B., & Alquier, T. (2005). AMPK energy regulation. Cell Metabolism, 1(1), 15–25.
Lane, N. (2015). The vital question. W.W. Norton.
Perry, C. G., & Hawley, J. A. (2018). Mitochondrial biogenesis. Cold Spring Harbor Perspectives in Medicine, 8(5).
Sun, N., Youle, R. J., & Finkel, T. (2016). Mitochondrial aging. Molecular Cell, 61(5), 654–666.
Wallace, D. C. (2005). Mitochondria and aging. *Science, 309*(5733), 1023–1024.
Charmandari, E., Tsigos, C., & Chrousos, G. (2005). Endocrinology of stress. Annual Review of Physiology, 67, 259–284.
Ho, K. K. Y., et al. (1988). Fasting and GH secretion. Journal of Clinical Investigation, 81(4), 968–975.
Lightman, S. L., et al. (2008). Glucocorticoid rhythms. *European Journal of Pharmacology, 583(2–3), 255–262.
Weitzman, E. D., et al. (1971). Cortisol rhythm. Journal of Clinical Endocrinology & Metabolism, 33*(1), 14–22.
Czeisler, C. A., & Klerman, E. B. (1999). Circadian hormone regulation. Recent Progress in Hormone Research, 54, 97–132.
Roenneberg, T., & Merrow, M. (2016). Circadian clocks. Nature Reviews Molecular Cell Biology, 17(10), 599–610.
Hamblin, M. R. (2017). Photobiomodulation mechanisms. AIMS Biophysics, 4(3), 337–361.
Karu, T. I. (1999). Light and mitochondria. Journal of Photochemistry and Photobiology B, 49(1), 1–17.
Bramble, D. M., & Lieberman, D. E. (2004). Endurance running evolution. Nature, 432, 345–352.
Carrier, D. R. (1984). Human running energetics. Journal of Zoology, 202(4), 483–495.
Pontzer, H. (2015). Energy expenditure. Annual Review of Anthropology, 44, 169–186.
Gibala, M. J., et al. (2012). HIIT adaptations. Journal of Physiology, 590(5), 1077–1084.
Peterson, M. D., et al. (2010). Strength training effects. Ageing Research Reviews, 9(3), 226–237.
Westcott, W. L. (2012). Resistance training benefits. *Current Sports Medicine Reports, 11(4), 209–216.
Wisløff, U., et al. (2007). Interval training and heart. Circulation, 115(24), 3086–3094.
Compston, J. (2018). Osteoporosis. The Lancet, 393(10169), 364–376.
Frost, H. M. (2004). Wolff’s law update. Anatomical Record, 275A, 1081–1101.
Lang, T. F., et al. (2004). Bone loss in astronauts. Journal of Bone and Mineral Research, 19(6), 1006–1012.
LeBlanc, A., et al. (2007). Bone loss in space. Journal of Musculoskeletal & Neuronal Interactions, 7(2), 157–160.
Diamond, A. (2000). Motor and cognitive development. Child Development, 71(1), 44–56.
Hillman, C. H., et al. (2008). Exercise and cognition. Nature Reviews Neuroscience, 9(1), 58–65.
Ratey, J. J., & Loehr, J. E. (2011). Brain and exercise. Trends in Neurosciences, 34(9), 464–472.
Courchesne, E., et al. (2001). Brain development in autism. JAMA, 286(18), 2325–2333.
Fournier, K. A., et al. (2010). Motor coordination in autism. Journal of Autism and Developmental Disorders, 40(10), 1227–1240.
Ashby, N. (2003). Relativity in GPS. Living Reviews in Relativity, 6(1), 1.
Einstein, A. (1905). Electrodynamics of moving bodies. Annalen der Physik, 17, 891–921.
Hafele, J. C., & Keating, R. E. (1972). Atomic clock experiment. Science, 177(4044), 166–168.
Christensen, K., et al. (2009). Ageing populations. The Lancet, 374 (9696), 1196–1208.
Willcox, D. C., et al. (2006). Okinawan longevity. Annals of the New York Academy of Sciences, 1067, 434–455.

Join the conversation