Jipatie maarifa kutoka vitabu bora vilivyoandikwa na Dr Brighton shoo kuusu imani, sayansi, afya, teknolojia, asili, malezi, saikolojia na mazingira

INJILI YA SAYANSI Q4

 




INJILI YA SAYANSI Q4

Ni kitabu kinachoangaza hila za ukoloni mkubwa wa Hali za kiafya na kiakili za watu. kwa kuchimbua kiundani zaidi misingi ya sayansi ya uharibifu ya mifumo ya utu wa watu. Injili ya sayansi Q4 kwa mwonekano wa haraka ni Kama kitabu kinachofundisha sayansi za misingi ya mifumo ya fahamu kwa undani, lakini kwa undani Sana, ni kitabu kinachomwelekeza msomaji kujijua Kwanza, na Kisha kumwonesha namna gani uharibifu humfikia. Mwandishi Dr. Shoo anaamini kuwa, huwezi jua kuwa unadanganywa kabla ya kuujua ukweli.

Kwa mihongo mingi wataalamu wa lishe, vyakula na wataalamu wa saikolojia wametumika Kama washauri Bora wa mitindo ya afya. Ni kweli husaidia Sana katika kuongoza mitindo Bora ya kiafya na kiakili, lakini! Changamoto nyingi zimeendelea kushamiri Tena hata chini ya uangalizi wa wataalamu Hawa kwa kuwa, shida nyingi Sana za kiafya hazitokani na Nini kinachomfikia mtu, aidha kwa Kula, kusikia au kuona! Kama wataalamu Hawa wanavyotumia mbinu za kuchunguza ubora wa vimwingiavyo mtu! Shida nyingi hutokana na namna ambavyo mtu huyu, seli zake zinavyochangamana na vitu hivi.

Mfano mwepesi wa kulielewa hili ni hivi, mwanalishe kwake uwepo wa Sukari Kama "high fructose corn syrup" katika soda au juisi sio changamoto! Kwa kuwa anajua mwili unaihitaji. Lakini kumbe, changamoto ya Sukari hii sio uasilia wake, Bali ni namna ambavyo mwili kwa asili hauhitaji Sukari ya "fructose" kwa kiwango ambacho huwepo katika soda au juisi, kwa kuwa huenda na kuathiri moja kwa moja chembechembe muhimu kabisa za seli za kuzalisha nishati " Mitochondria" na Sukari nyingi hizi hupeleka hata kuta za utumbo "tight junctions" kulegea na kupelekea utumbo kupitisha chembechembe nyingi kuingia kwenye damu Jambo lisilo hitajika, unaweza ita pia "leaky gut".  

Changamoto nyingi huwa haziji katika umbile la changamoto kwa nje, huja katika umbile la changamoto kwa ndani Sana, Jambo ambalo, linahitaji uwezo Mpana wa kujua sayansi ya utendaji wa maeneo ya ndani kabisa ya mwili. Mwanalishe hawezi kujua kuwa makapi au "fibers" za asili katika matunda huwa na umuhimu wa kuzuia "fructose" isiingie moja kwa moja katika ini, Kama inavyofanywa kwa unywaji wa soda, na kupelekea athari za ini, mfano, ini kujaa mafuta, kuvimba, na kuathiri utendaji wa homoni insulin. Na Sasa basi, unaweza kuona namna ambavyo, pamoja na kuwa inaweza onekana kwa nje kuwa, hakuna shida, lakini hatimaye unaishia kupata mtu kwenye madhara makubwa, kitambi n.k. 

hoja ni kuwa, watu wengi hawaathiriwi kwa kuwa hawajui Nini ki sahihi! Wengi wanaathiriwa kwa kutokujua Nini kitatokea! Badala ya kukuambia tu kuwa ulaji wa pipi, nyama za wanyama waliofugwa kwa madawa, na unywaji wa soda, vinaweza kuathiri afya yako ya akili, Q4 inakuonesha kiundani zaidi, Tena kwa namna nyingi. mfano mojawapo, kupitia uhusiano wa moja kwa moja wa tumbo na mfumo wa akili kupitia, vimelea vilivyomo tumboni "microbiome" vinavyohusiana na ubongo, kwa uzalishaji wa homoni za ubongo "neurotransmitters", namna vitunza vyakula vinavyowaua wasaidizi Hawa. mfano, kupitia vitunza vyakula vya kisasa "preservatives" "sodium benzoate" (kitabu kimeeleza kila kilichomo katika vyakula vya kisasa) , namna madawa "antibiotic residues" zinavyowaua", pia msomaji atakapojua kemikali za utamu wa nyama Kama "heterocyclic amines, furans, polycyclic aromatic hydrocarbons, nitrosamines na acrylamides" zinachomfanya, ataelewa kuwa, Kansa ya utumbo kwa mlaji Sana wa nyama, ni Kama mimba tu kwa mwanamke aliye kwenye ndoa, ila kuna mengi Sana yanayoendelea, na hautaambiwa!

Injili ya sayansi Q4 inampatia faida msomaji ya kuelewa umuhimu wa kila mfumo wa fahamu katika utu wa mtu. Muziki unaousikiliza una asilimia katika tabia na afya yako! Kitabu hiki kina misingi Mpana wa sayansi ya usikiaji, namna ubongo unavyochakata sauti, na namna muziki na sauti zinavyoweza kuathiri akili na hisia za mtu. Sauti na muziki kwa kujitegemea vyenyewe tu, vinaweza tengeneza mdahalo Mpana kwenye biolojia ya magonjwa hatari kabisa katika afya! Msikilizaji asiyejua sayansi hii hawezi jua ni kwa namna gani, muziki wake umemfanya na unaendelea kumfanya awe hivyo alivyo. 

Kitabu kinatoa mwangaza Mpana wa umuhimu wa taswira katika afya ya akili. Ijapokuwa wengi hukimbilia vyakula, lakini Injili ya sayansi Q4 inaonesha ni kwa namna gani, sayansi inathibitisha kuwa picha, video na taswira kwa ujumla Zina nguvu kubwa Sana katika changamoto Kama za nguvu za kiume, tabia, ukuaji, athari za afya ya uzazi kwa watoto na shida za kisaikolojia. Msomaji ataelewa sayansi ya tangia anaona mpaka anaelewa.

Kitabu kinaelezea kiundani namna inavyowezekana kuteka akili za watu, na kuhaharibu kwa kutumia michezo ya kisaikolojia, Kama vile, magemu, kamali na hata filamu za ngono. Msomaji atanufaika na kuelewa namna inavyowezekana kutengeneza uraibu kwa watu, lakini pia atanufaika kujua, lengo husika kwa mitindo hii.

Mwisho kabisa. Injili ya sayansi Q4 kinachimbua kwa undani zaidi mitindo yote ya kumaliza kabisa ubinadamu wa watu, kwa kutumia hila za kuathiri mifumo ya jenetikia ya watu. Hapa msomaji ataelewa namna ambavyo, mitindo mingi iliyozoeleka kabisa Kama ya ulaji wa nyama, vinywaji na vyakula vya viwandani "processed foods" na pia vyakula vilivyoboreshwa kijenetikia "G.M.O". vinavyoweza leta changamoto kubwa kabisa, ambayo haijawahi kutokea. Msomaji atanufaika kujua sayansi za ndani kabisa ambazo asingeweza kuzipata katika mitaala ya kielimu, Kama CRISP Cas9 Technology", taaluma za kisasa kabisa ambazo hazijavuka hata miaka mitano tokea 2020 toka zigunduliwe. Msomaji atatambua umuhimu wa kujilinda na kuwalinda awapendao.

Kumbuka! Injili ya sayansi Q4 sio kitabu kilichoandikwa kwa dhumuni la biashara! Ni kitabu kilichoandikwa kwa dhumuni la Upendo. Q4 inathibitisha msomaji anachokishuhudia, vifo vya kushtukiza! Magonjwa yasiyotibika! Zaidi ya asilimia 70% ya magonjwa, kwa wastani wa nchi zote, ni magonjwa yasiyo ya kuambukiza, magonjwa ya changamoto za kimwili, ambayo mengi ni magonjwa yanayochochewa na mitindo ya maisha. 

Wataalamu wa afya kadri siku zinavyosonga ndivyo wanavyoishiwa mbinu zaidi za kujikinga na magonjwa haya, kwa kuwa, Hayatibiki! Hayana dawa! Huwa tu Kama wataalamu tukitibu dalili. Mfano, presha ikipanda, basi unashusha. Sukari ikipanda, basi unashusha, Kansa ikizidi, unaua kiungo au seli, mifupa ikiisha, unashauri lishe! yaani hakuna matibabu kiufupi, na hiyo ni mifano tu, magonjwa halisi yanaelezwa katika kitabu hiki, hata hivyo, bado kuna ushahidi wa hata magonjwa mengi ya kuambukiza, bado yanachochewa na mbinu hizi hizi za uharibifu Kama inavyoelezwa katika Injili ya sayansi Q4.

Uandishi wa kitabu hiki ni matokeo ya kazi kubwa Sana ya kuunganisha doti, za kazi nyingi Sana za watafiti na wanasayansi waliotangulia katika ujenzi wa jamii Bora. Kitabu hiki kinarejelea nyingi Sana za tafiti za kisayansi toka katika taasisi kubwa kabisa, na za kuaminika za kisayansi. Kitabu hiki kinarejelea nyingi Sana za ushauri wa kiafya toka katika Biblia na rejea za afya za mwandishi Ellen G. White. Kumbuka, ni  Upendo wa Mungu Baba ndiyo unaotuongoza wanasayansi baadhi tukatumia sayansi kutamani kuokoa jamii, na wengine wakijisemea kuwa hakuna Mungu, na kuitumia sayansi kuathiri jamii, huku wakiwa ni wagonjwa wakubwa wa kisaikolojia.

Kuorodhesha nukuu zote kwa kazi zilizo rejelewa, ni Kama kuongeza kitabu kingine chini ya kitabu ambacho tayari ni kikubwa. Hivyo nukuu nyingi zitawekwa tukakapo kamilisha maboresho ya website ya Injili ya sayansi, lakini hata hivyo, uandishi wa kitabu hiki umehusisha kuthamini michango ya kazi zilizokwisha fanyiwa kazi na waliotangulia. Na hasa, ni wataalamu wa Ubongo, saikolojia, lishe, fiziolojia, historia, jamii, na sayansi zingine nyingi kwa ujumla.

Gharama za ununuzi wa kitabu hiki zimelenga kusapoti usambazaji zaidi kwa wengine, ili sote, tuweze kupona kwa atakayejali.  Kitabu hiki kinamilikiwa na Dr. Brighton Godwin Shoo, na pia ndiye msimamizi mkuu wa Injili ya sayansi, mwandishi wa vitabu vingine vya Injili ya sayansi.

MATUMIZI YA LUGHA

Imani kubwa ya mwandishi ni kuwa, kadri LUGHA inavyozidi kukaribia lugha mama ya mtu, basi mtu huweza kuelewa kwa kiwango kikubwa zaidi. Maneno mengi ya kisayansi yameorodheshwa tu kwa kiingereza ili kurahisisha urejeleaji, lakini yameelezewa kwa kiswahili.

NAMNA YA KUKIPATA KITABU HIKI

unaweza wasiliana nasi kupitia Injili ya sayansi blogspot kwa

-brightonshoo7@gmail.com

-+255 6139 069 30 

HARDCOPY inauzwa kwa 30,000/= TSH.

SOFTCOPY inauzwa kwa   15,000/=TSH.

YALIYOMO

SURA YA 1 30

FIZIOLOJIA ZA MLANGO WA LADHA NA KUNUSA 30

ULIMI ‘’TONGUE’’ 30

MFUMO WA KUHISI WA ULIMI NA KINYWA. 34

MGAWANYO WA SELI ZA HISIA KATIKA ULIMI. 37

FIZIOLOJIA YA SELI KUHISI HALI TOFAUTI TOFAUTI ZA VYAKULA 39

FIZIOLOJIA YA MAWASILIANO KATI YA ULIMI NA UBONGO 46

SELI ZINAHISIJE KEMIKALI ZA VYAKULA 46

FIZIOLOJIA YA HISIA ZA KUHISI KUELEKEA KWENYE UBONGO 50

LADHA AU FLAVOUR NI NINI? NA INATOFAUTI GANI NA HISIA YA KEMIKALI YA CHAKULA AU TASTE? 53

UBONGO UNAKUMBUKAJE LADHA TOFUATI TOFAUTI NA UNAJUAJE LADHA MPYA? 55

PUA 57

FIZIOLOJIA YA KUHISI HARUFU KATIKA PUA 57

Receptors Zinajuaje Maelfu Ya Harufu? 57

FIZIOLOJIA YA HISIA ZA HARUFU KUELEKEA KATIKA UBONGO 60

SURA YA 2. 65

FALSAFA ZA UDANGANYIFU WA MLANGO WA KUNUSA NA LADHA. 65

SABABU ZA KIASILIA NA KISAIKOLOJIA ZA LADHA ZA VITU 65

MUNGU ALIUMBA UTAMBUZI WA LADHA KISAYANSI 68

MCHEZO WA AKILI WA KUWATEKA WANASAYANSI NA WATU WASIWAZE SIRI ZA HUU UDANGANYIFU WA MILANGO YA FAHAMU 71

KUUNDA MATATIZO FEKI AU DHIKI ZA UPUMBAVU 71

KUZALIWA TATIZO FEKI LA PILI 76

KUTUMIA SULUHISHO FEKI KAMA MKAKATI DHIDI TATIZO FEKI 77

TATIZO HALISI 78

SURA YA 3 79

SAYANSI YA UDANGANYIFU WA MLANGO WA ULIMI NA PUA 79

KUUDANGANYA ULIMI KUPITIA LADHA YA SUKARI NA MADHARA , MAGONJWA  NA VIFO VYAKE. 80

BIDHAA ZA LADHA ZA SUKARI NA VIONGEZA RADHA. 80

SUKARI ZA KISASA ‘’Artificial Sweeteners’’. 82

TATIZO FEKI LA MADHARA YA UTUMIAJI WA SUKARI ZA KISASA ‘’Artificial Sweeteners’’ Kama Vile Aspartame. 83

USHAHIDI WA TAFITI ZA KISAYANSI JUU YA MADHARA YA SUKARI ZA KISASA 85

TATIZO HALISI LA KUDANGANYA ULIMI NA NDIO LENGO LA KUPOTOSHA MLANGO HUU WA FAHAMU 89

SAYANSI YA KUUDANGANYA UBONGO KUPITIA SUKARI ZA KISASA 90

MATOKEO YA KUATHIRI UBONGO KUPITIA SUKARI ZA KISASA KAMA SODA 92

UTAFITI:SUKARI ZA KISASA ZINAVYOHARIBU MFUMO WA UBONGO 96

MATOKEO YA SUKARI ZA KISASA KATIKA AFYA YA UBONGO 98

MATATIZO YA AKILI YANAYOAMBATANA NA SUKARI ZA KISASA ZENYE ASPARTAME. 99

Utafiti Wa Wanachuo Waliokuwa Wakipewa Bidhaa Za Viwandani Na Kisha Kupimwa Uwezo Wao Wa Utambuzi. 101

NAMNA UBONGO UNASHINDWA KUSOMA NA KUKUMBUKA BAADA YA KUTUMIA BIDHAA ZENYE SUKARI ZA KISASA. 107

NAMNA UBONGO UNAATHIRIWA KIUTAMBUZI ‘’Perception’’, KIHISIA ‘’Emotion’’, UWEZO WA KUZINGATIA ‘’Attention’’  NA UJUZI ‘’Cognitive’’ UKITUMIA SODA NA BIDHAA ZOTE ZA SUKARI ZA KISASA. 109

UFUPISHO AU SUMMARY YA PICHA YA NAMNA SODA NA BIDHAA ZA VIWANDANI ZINAVYOATHIRI UBONGO NA AKILI. 112

KEMIKALI ZINGINE HATARI KATIKA MATUMIZI YA BIDHAA ZA VIWANDANI. 120

RANGI ZA VYAKULA ‘’COLOURANTS’’. 121

KWANINI VYAKULA  VINABADILIKA RANGI VIKIKOMAA? 122

RANGI HUISHIA WAPI MWILINI? 123

KUHUSU RANGI ZA KISASA? 125

HATARI KUBWA ZA RANGI HIZI ZISIZO ZA ASILI 127

SAYANSI YA SELI ZA KINGA ZINAZOATHIRIWA NA RANGI YA KISASA YA CHAKULA 131

VITIA LADHA VYA KISASA ‘’Artificial Flavours’’ 134

MAAJABU YA KUFELI KUUNDA VITIA LADHA VYA KISASA 136

VITIA LADHA VYA KISASA 138

VICHOCHEA LADHA ‘’Flavour Enhancer’’ – MONOSODIUM GLUTAMATE. ‘’MSG’’ 140

MADHARA YA VICHOCHEA LADHA NA LADHA ZA KISASA KWA AFYA 141

MADHARA KWA UPANDE WA LADHA ZA KISASA 143

SAYANSI YA KUTENGENEZA URAIBU KUPITIA VYAKULA VYA KISASA 145

KWANINI MUNGU ALIUMBA MIWA, VIAZI, MAPERA, NDIZI N.K  NA HAKUUMBA CHOCOLATE,PIPI N.K 147

JE WAJUA MAAJABU YA ENERGY DRINK: 149

MADHARA YA SARATANI NA AFYA YA MFUMO WA CHAKULA KUTOKANA NA LADHA ZA KISASA 150

MATUMIZI YA ANTIOXIDANTS ‘’Vizuia Oksijeni’’ 152

KWANINI CHAKULA HUWA KINAKUWA CHA NJANO AU CHEUSI KINAPOZIDI KUHARIBIKA 153

UTENDAJI WA ANTI OXIDANTS 155

KWANINI ZIWE NA MADHARA KAMA ZINAFANYA KAZI NZURI YA KUTUNZA CHAKULA 156

KWA HIYO TUACHE KUTUNZA VYAKULA KWA MUDA MREFU? 159

VIYEYUSHA MAFUTA ‘’Emulsifiers’’ NA VIBORESHA MKOROGO ‘’Stabilizers’’. 160

VIBORESHA MKOROGO ‘’Stabilizers’’ 161

MADHARA YA STABILIZERS NA EMULSIFIERS 162

VIYEYUSHAJI ‘’SOLVENTS’’ 164

‘’PRESERVATIVES ‘’Vitunza Chakula’’ 165

NAMNA VITUNZA VYAKULA ‘’Preservatives’’ VINAVYOUA KINGA 167

MADHARA MAKUBWA YA SODIUM BENZOATE 168

MADHARA MAKUBWA YA SODIUM NITRITE 169

MADHARA MAKUBWA YA SODIUM SULFITE 170

SUMMARY YA JUMLA YA MADHARA KATIKA MFUMO WA KINGA KWA MATUMIZI YA VIONGEZWA KWENYE CHAKULA 171

POMBE NA UDANGANYIFU WA FAHAMU 173

POMBE "Alcohol" 173

BIOLOJIA YA POMBE MWILINI 176

POMBE MDOMONI 176

POMBE TUMBONI 177

JE WAJUA TOFAUTI ZA KUWAHI KULEWA? 180

POMBE KATIKA INI 181

SAYANSI YA INI YA KUJIKINGA NA SUMU 181

POMBE NA INI 182

KWANINI MLEVI NA KITAMBI 183

KWANINI WANAWAKE WANALEWA HARAKA ZAIDI YA WANAUME? 185

MADHARA YA POMBE KATIKA UBONGO NA UDANGANYIFU WA MILANGO YA FAHAMU 187

GETI LA GABA ‘’GAMMA AMINO-BUTYRIC ACID’’ 189

MATOKEO YA KIAKILI YA KUNYWA POMBE KATIKA GABA 191

GETI LA GLUTAMATE/NMDA ‘’N-Methyl D-Aspartate’’ RECEPTOR 193

MATOKEO YA KIAKILI YA KUCHEZA NA GETI  LA NMDA 195

POMBE HUCHOCHEA UZALISHAJI WA HOMONI DOPAMINE NA SEROTONIN 197

MADHARA YA DOPAMINE KATIKA AKILI ZA WATU 199

MATUMIZI YA KAHAWA "Coffee",CHAI "Tea", COCOA NA UDANGANYIFU WA FAHAMU 200

KAHAWA "Coffee" 200

CHAI " Tea" 201

KWANINI WANYAMA HUWA WAKILA MAJANI HUKU WAKITEMBEA TEMBEA 201

KUHUSU UVUNAJI WA CHAI? 202

JE WAJUA TABIA YA CHAI KWA VIMELEA ? 203

COCOA 204

SIFA YA COCOA,COFFEE NA CHAI KWA PAMOJA 204

MADHARA YA UTUMIAJI SANA WA CAFFEINE Kwenye KAHAWA NA CHAI 206

SAYANSI YA KUATHIRI UBONGO KWA KUTUMIA KAHAWA,CHAI NA KOKOA 207

KWANINI WATUMIA KAHAWA HUUKIMBIA USINGIZI? 209

KWANINI CAFFEINE ZIWE SUMU MAKINI HIVI? 210

KWANINI HUSEMWA KAHAWA KIDOGO NI NZURI KWA AFYA KWA SABABU BAADHI? 210

TAFITI YA MADHARA YA KAHAWA KWA WATOTO WA SHULE 213

FAIDA ZA USINGIZI KISAYANSI 215

KIPI WASICHOKIJUA WATUMIAJI WA KAHAWA 216

MADHARA YA UVUTAJI SIGARA NA UDANGANYIFU WA MFUMO WA FAHAMU. 218

SAYANSI YA UTENDAJI WA SIGARA. 219

SIGARA KWENYE UBONGO 219

SIGARA NDANI YA MWILI KWA UJUMLA 220

MADHARA YA MATUMIZI YA PILIPILI ‘’SPICY’’  KATIKA UDANGANYIFU WA MILANGO YA FAHAMU. 222

SAYANSI YA UTENDAJI WA PILIPILI 223

MATOKEO YA ULAJI WA PILIPILI 224

Faida Kadhaa Za Ulaji Wa Pilipili 225

MASWALI YA MASHAKA YA  KUJIULIZA? 227

MADHARA YA UNYWAJI WA MAJI BARIDI SANA NA MFUMO WA FAHAMU. 228

SAYANSI YA KUHISI KIU YA MAJI 228

SAYANSI YA UDANGANYIFU  HATARI YA KUNYWA MAJI YA BARIDI KALI SANA AU BARAFU 230

MADHARA MENGINE YA KULA CHAKULA NA KUNYWA VINYWAJI BARIDI SANA 233

ULAJI WA NYAMA NA UDANGANYIFU WA MILANGO YA FAHAMU. 235

NYAMA 235

HISTORIA YA ULAJI WA NYAMA 235

KWANINI TUNAKULA NYAMA? 238

WANYAMA WALA NYAMA ‘’Carnivores’’ 241

WATU WANAOKULA NYAMA MBICHI 242

KWANINI WATU HUCHAGUA AINA ZA NYAMA? 244

SAYANSI YA UTAMU WA NYAMA 244

MAILARD REACTION 245

HARUFU NZURI ZA UTAMU ‘’Aromatic Flavors’’ 246

KWANINI NYAMA ZIMETOFAUTIANA UTAMU? 250

SABABU ZA MSINGI ZAIDI NA MAARUFU ZAIDI ZA KULA NYAMA AMBAZO HUFUNDISHWA 257

(Lakini Ni Feki…) 257

MADHARA YA ULAJI WA NYAMA UTAKAYO AMBIWA JUU JUU!! NA MADHARA HALISI 263

TATIZO FEKI: CANCER YA COLON 263

TATIZO HALISI:SABABU YA CANCER YA COLON 263

SABABU ZA TATIZO HALISI: KUFELI KWA MFUMO WA UTENDAJI WA JENETIKIA ‘’Carcinogenesis’’ 264

TATIZO FEKI: UGONJWA WA MOYO MOJA KWA MOJA 269

TATIZO HALISI:SABABU ZA SHIDA MBALIMBALI ZA MOYO 269

UHUSIANO WA INSULINI NA UGONJWA WA KISUKARI 274

TATIZO FEKI: UGONJWA WA KISUKARI ‘’DM2’’ MOJA KWA MOJA. 275

TATIZO HALISI: CHANGAMOTO ZOTE ZA MATATIZO YA INSULINI 275

Uzalishaji Wa Mafuta Ya Asili Ya Kuganda ‘’Saturated Fatty Acids’’ Au SFA 275

Madhara Ya Upishi Wa Nyama Kupitia Kuunda ‘’Advanced Glycation End Products’’ Au ‘’Ages. 277

NYAMA HUATHIRI NGUVU ZA KIUME NA UZALISHAJI!!!! 280

TATIZO FEKI: MWANAUME KUSHINDWA KABISA KUSIMAMISHA UUME 280

TATIZO HALISI:MWANAUME KUPUNGUKIWA UWEZO NA NGUVU ZA KUSIMAMISHA UUME 280

NYAMA HUDHOOFISHA UWEZO WA MIFUPA !!! 286

TATIZO FEKI: MTU AWE NA MATEGE AU ASHINDWE KABISA KUTEMBEA 286

TATIZO HALISI:KUPUNGUA KWA UWEZO NA KUISHA POLEPOLE KWA MIFUPA 286

MAAJABU YA MWANAMKE KUPENDA NYAMA!!! 291

MFANO MBAYA WANAOTUMIA WANAWAKE WENGI KATIKA KULA NYAMA!! 291

URAHISI WA KUWATEKA WANAWAKE KWENYE NYAMA KIFIZIOLOJIA? 292

UHUSIANO WA ULAJI WA NYAMA NA SAIKOLOJIA YA WALAJI 293

TABIA NYINGINEZO ZA UDANGANYIFU WA MILANGO YA FAHAMU. 293

KUTAFUNA BIGIJII KWA MUDA MREFU 294

KUCHANGANYA VIBAYA AINA ZA VYAKULA. 298

KUTOFATA RATIBA ZA VYAKULA ZA ASILI YA AFRIKA 301

KAULI YA KUICHUNGUZA: USILE CHAKULA KINGI USIKU, KULA CHAKULA KINGI ASUBUHI!!! 302

MITINDO YA KULA KWA AFRIKA 303

MITINDO YA KULA ULAYA 305

KUTOKUBALANSI KIWANGO CHA NISHATI/MATUMIZI YA CHAKULA KULINGANA NA JINSIA 307

SWALI LA KWANZA: JE ULAJI HUFUATA TOFAUTI ZA KIJINSIA? 309

SWALI LA PILI: JE NISHATI ZAIDI AU CHINI YA UHITAJI INA MADHARA GANI? 310

MFANO MDOGO WA MFUMO WA MAISHA YA KISASA UNAVYOMWATHIRI MTOTO WA MJINI!! 311

UTUMIAJI ULIOPITILIZA WA MAZIWA YA NG’OMBE HASA WA KISASA 313

CHANZO CHA TATIZO LA UNYWAJI SANA WA MAZIWA 314

TATIZO FEKI; LACTOSE INTOLERANCE/KUSHINDWA KUVUNJA LACTOSE NA ALLERGY ZAKE 315

TATIZO HALISI 1:CHANGAMOTO ZA UPUNGUFU WA ENZYMES ZA KUVUNJA MAZIWA 315

TATIZO HALISI 2:UNYWAJI WA MAZIWA YA NG’OMBE KWA WATOTO KWA MUDA KAMA MBADALA 317

UTUMIAJI MKUBWA WA BIDHAA ZA KUKAANGA NA KUCHOMA 320

TATIZO FEKI: ULAJI WA BIDHAA ZA KUKAANGA 320

TATIZO HALISI:ULAJI SANA WA MAFUTA YA KUKAANGA 320

SURA YA 4 324

FIZIOLOJIA YA MSINGI KATIKA KUONA 324

MWANGA 324

JE WAMJUA MDUDU ANAYEONA ZAIDI!! 325

JE WAJUA VIPOFU WANAVYOONA!! 326

JICHO LINAVYOCHAKATA MWANGA 326

SEHEMU ZA MSINGI ZA JICHO 327

SENSA ZA KUHISI MWANGA ‘’PHOTORECEPTORS’’ 334

SELI ZA KUONA KWENYE MWANGA 334

MATOKEO YA BADILIKO LA Cgmp 337

NAMNA TAARIFA MBALIMBALI YA TASWIRA ZINAVYOCHAKATWA 338

GANGLION CELLS 339

MAKUNDI YA GANGLION CELLS 340

UCHAKATWAJI WA RANGI ‘’COLORS’’ 341

SAFARI YA TAARIFA KUTOKA JICHONI KWENDA KWENYE UBONGO 342

CHANNEL TATU KUU ZA TAARIFA  YA NEVA KUTOKA MACHONI KUELEKEA KWENYE UBONGO 344

UCHAKATAJI WA TAARIFA YA NEVA YA KUONA KATIKA UBONGO WA KUONA. 348

UHUSIANO MKUBWA WA UBONGO WA KUONA NA KUMBUKUMBU NA UTAMBUZI. 350

SURA YA 5 352

SAYANSI NA SANAA YA KUTRIKI MACHO KUDANGANYA MFUMO WA FAHAMU 352

UTANGULIZI 352

KWANINI MACHO YANAJENGA IMANI? 353

MAISHA YAMEJAA FAHARI ZA MACHO!! 355

MACHO NDIYO DIRISHA LA WEWE USIYEONEKANA ‘’CONSCIOUSNESS’’!! 356

SAYANSI YA HISIA ZA KUONA KWA VIPOFU WA MACHO!! 357

SAYANSI NA SANAA YA KUTRIKI UFAHAMU KWA KUPITIA MACHO!! 358

MBINU YA KWANZA YA UHARIBIFU 359

Kubadilisha Uelekeo Wa Umakini ‘’Attention’’ Kwa Kutumia Tabia Ya Ubongo Na Macho Katika Mifumo Ya Utambuzi. 359

Taarifa Zenye Mhemko Wa Kuhamasisha Hatari Au Uhitaji Mkubwa. 361

KWANINI UBONGO HUTEKWA KIRAHISI KWA TAARIFA ZA MIHEMKO? 362

SAIKOLOJIA MBAYA YA WANA HABARI KUTUMIA HUU MTINDO KUHATARISHA!! 363

Taarifa Zilizobeba Msisimko Mkubwa Wa Kihisia. 364

KWANINI UBONGO HUTEKWA KIRAHISI KWA TAARIFA ZA HISIA!! 364

SAYANSI YA NDANI ZAIDI YA KUTEKA UMAKINI KWA PICHA ZA NUSU UCHI!! 370

MADHARA YA KUSISIMUA SISIMUA MFUMO WA UMAKINI!! 372

MBINU YA PILI 377

Kubadilisha Wastani Au ‘’Standard’’ Ya Viwango Vya Mifumo Ya Kifiziolojia Kwa Kutumia Ukawaida Wa Uonaji Wa Taswira. 377

BADILIKO LA FIZIOLOJIA!! 379

NAMNA ZA KUBADILISHA FIZIOLOJIA ZA WATU KWA KUPITIA TASWIRA ZA KUPITIA MACHO!!! 381

KUTUMIA TASWIRA KUDANGANYA MIFUMO YA FAHAMU 381

SELI ZA UBONGO ZA KUIGA ‘’Mirror Neurons’’ 381

NAWEZAJE KUBADILI FIZIOLOJIA? 384

KUPITIA KUTENGENEZA MAZOEA YA HALI ZA TABIA ZISIZO ZA KAWAIDA ‘’ZA KUTISHA’’ 384

Madhara Ya Filamu Za Kutisha Kwa Watoto Au Watu Wazima. 386

UBONGO UNAVYO CHOCHEWA KIPINDI CHA KUANGALIA PICHA ZA HATARI!!! 388

Kuchosha Akili Za Watu Na Fiziolojia Zao Bila Wao Kujua. 388

Kusababisha Uraibu ‘’Addiction’’ 389

TAFITI JUU YA URAIBU WA FILAMU Au ‘’MOVIES’’ 390

TATIZO FEKI: MOVIE NI HATARI NA HUPASWI KUANGALIA!!! +Mitandao Ya Kijamii 393

TATIZO HALISI: MOVIE NI HATARI TUNAPASWA KUWA MAKINI!!! + Mitandao Ya Kijamii. 393

MBINU YA 4 394

Kuharibu Uwezo Wa Upokeaji Wa Taarifa Halisi Kwa Kutumia Usisimuaji Wa Taswira Fikirishi Zenye Matokeo Katika Mfumo Wa Fiziolojia. 394

UTANGULIZI 394

SAIKOLOJIA YA WANYAMA MBUGANI 395

SAYANSI NA SANAA YA KUHARIBU UWEZO WA KUPOKEA TAARIFA HALISI 396

TEKNOLOJIA KATIKA UTENGENEZAJI WA FILAMU NA MBINU ZAKE KATIKA KUUTRIKI UBONGO 397

DIGITAL CINEMATOGRAPHY ‘’Camera Za Kisasa Zaidi Za Kidijitali Kama Arri Alexa, RED Cameras N.K” + Sound Recording  + Lighting 397

GREEN SCREEN ( CHROMA KEYING) TECHNOLOGY 399

SPECIAL EFFECTS (PRACTICAL) TECHNOLOGY 400

VISUAL EFFECTS (VFX) TECHNOLOGY 401

EDITING TECHNOLOGIES 402

MOTION CAPTURES TECHNOLOGY 403

3D AND STEREOSCOPING FILMING TECHNOLOGY 404

ANIMATION TECHNOLOGY 404

VIRTUAL REALITY (VR) AND AUGMENTED REALITY (AR) TECHNOLOGY 405

TEKNOLOJIA NYINGINE NYINGI 406

NAMNA TEKNOLOJIA ZINAVYO DANGANYA MIFUMO YA FAHAMU!!! 407

KUTUMIA MIANGA ‘’CONTRAST NA BRIGHTNESS’’ 407

KUTUMIA RANGI ‘’COLOR THEORY’’ 408

MIONDOKO ILIYONYOOSHWA ‘’SMOOTH MOTIONS’’ 409

TABIA YA KULIANDAA TUKIO KABLA YA KULITENDA 409

GREEN SCREEN 410

VISUAL EFFECTS 410

MBINU ZA TEKNOLOJIA ZA MITANDAO YA KIJAMII NA PICHA ZA KU EDIT !!! 411

KUTUMIA MBINU ZA MWANGA ‘’CONTRAST NA BRIGHTNESS’’ 411

COLOR CORRECTION NA FILTERS 412

VIONGEZA UREMBO WA SURA ‘’FACE RECOGNITION NA ENHANCEMENT’’ 412

SIFA ZA SURA NZURI 413

JE WAJUA KWANINI WATOTO WOTE HUVUTIA? HATA WA SIMBA!!! 413

VIONGEZA UREMBO KATIKA EDITORS ZA MITANDAO YA KIJAMII 414

FACE DETECTION NA MODIFICATION 414

AUGMENTED REALITY FILTERS 415

CROPPING, FRAMMING, SYMMETRY NA ALIGNMENT 416

MNG’AO ‘’SHARPNESS NA CLARITY’’ 416

MWONEKANO WA KINA NA UMBALI WA MAZINGIRA ZUNGUKWA 417

MADHARA KATIKA UBONGO!!! 418

MADHARA YA KISAIKOLOJIA!! 419

KUNA UHUSIANO GANI KATI YA SAIKOLOJIA NA FIZIOLOJIA? 419

MADHARA MAKUBWA KWA VIJANA NA WATOTO WANAOTAZAMA PICHA FEKI!!! 424

JE WAUJUA VIZURI UZURI WA MTU!! 425

HAKUNA MTU ASIYE MZURI!! 426

SAYANSI YA KUMALIZA NGUVU ZA KIUME NA SIFA ZA KIUME KWA KUTUMIA TASWIRA FEKI!! 428

UTANGULIZI 428

TABIA AU SIFA ZA KIUME!! 428

NGUVU ZA KIUME!! 432

SAYANSI YA KUMALIZA NGUVU ZA KIUME 433

KUTIBUA MFUMO WA HOMONI 434

UBONGO HUTATUA TATIZO KWA KUPUNGUZA MSISIMKO WA TASWIRA ZA MACHO!! 436

KUTIBUA SAIKOLOJIA YA NGUVU ZA KIUME!! 438

MADHARA KATIKA TABIA ZA KUJIRIDHISHA!! 439

Utangulizi 439

Sayansi Ya Uharibifu!! 440

MADHARA KATIKA UBONGO YANAYOSHUSHA NGUVU ZA KIUME!! 441

SIO TU NGUVU ZA KIUME HATA UWEZO WA KUFIKIRI!! 444

I.Kila Unaposisimuliwa Mfumo Wa Hisia, Huusiana Na Kushuka Kwa Kazi Za Kufikiria Katika Sehemu Ya Ubongo Ya Mbele. 445

Ii.Kupungua Kwa Ubongo ‘’Grey Matter’’ Kwa Kuangalia Picha Za Mihemko 445

MADHARA ZAIDI KATIKA UBONGO YANAYOATHIRI NGUVU ZA KIUME!! 448

MAUAJI  MAKUBWA YA UBONGO WA WATOTO !!! 450

UTANGULIZI 450

UGUNDUZI WA ULIOCHOCHEA MAPINDUZI ZAIDI!! 452

TELEVISHENI 452

RADIO 453

SIMU 454

TEKNOLOJIA ZA MAWASILIANO KWA MAWIMBI 454

MITANDAO YA KIJAMII 455

HUDUMA ZA MITANDAO NA HUDUMA ZA KIDIJITALI 456

KARNE YETU (1914-2024)NGUMU KULIKO ZOTE, YENYE VIFO VINGI NA AINA NYINGI ZAIDI 456

MAJANGA YA ASILI 457

VITA NA MAUAJI YA MASHAMBULIZI 457

MAGONJWA NA MILIPUKO 457

MAPINDUZI YA VIWANDA NA MAJANGA YA TEKNOLOJIA 458

MAJANGA YA KIMAZINGIRA 458

SAYANSI YA UUAJI WA UBONGO WA WATOTO 460

UANGALIAJI SANA WA TELEVISHENI, SIMU + KWA WATOTO 460

GUNDUZI ZA TAFITI MBALIMBALI JUU YA MADHARA KATIKA UBONGO 460

SABABU ZA KISAYANSI ZA KUPUNGUA KWA UBONGO KWA KUANGALIA TELEVISHENI 462

UBONGO WA MTOTO!!!! 463

Watu Wengi Hawajui Kwanini Watoto Huwa Hawatulii!! 463

MADHARA MAKUBWA YA KUPUNGUKIWA MUDA WA KULALA KWA  KUANGALIA TV NA SIMU USIKU!!! 464

MADHARA YA UBONGO KUSISIMKA KIPINDI MTU (HASA MTOTO) AMELALA KUTOKANA NA HOMONI CORTISOL!! 465

KOSA KUBWA LA KUSHINDWA KUELEWA MUDA WA UKUAJI!! 467

KUATHIRI MAENDELEO YA UBONGO NA UWEZO WA AKILI 470

MADHARA MAKUBWA YA KUWAONESHA WATOTO TASWIRA ZENYE MISISIMKO YA KIHISIA 472

KUANZA KUONESHA DALILI YA KUPEVUKA KABLA YA WAKATI KWA VIJANA WADOGO 473

KUPUNGUZA HISIA JUU YA MAPENZI ‘’DESENSITIZATION’’ 475

KUUA UWEZO WA KUFIKIRI KWA KUCHOCHEA FIKRA ZA MAPENZI 475

MADHARA YA KITABIA!!! 475

JIBU LA KIFALSAFA LA KWANINI  SIO VIZURI KUANGALIA UCHI!! 477

SURA YA 6 481

FIZIOLOJIA YA UTENDAJI WA MASIKIO NA KUSIKIA 481

MASIKIO 481

SEHEMU ZA SIKIO "EAR BRIEF ANATOMY AND PHYSIOLOGY" 483

SAFARI YA SIGNALS ZA NEVA YA SAUTI KATIKA SIKIO LA NDANI KUELEKEA KATIKA UBONGO 494

KUTOKA MASIKIONI MPAKA UBONGO WA NYUMA (MEDULLA & PONS) 495

Kuelekea Kwenye Ubongo Wa Kati ‘’Midbrain’’ 497

Kutoka Kwenye Ubongo Wa Kati ‘’Midbrain’’ 499

SIFA ZA UBONGO WA KUSIKIA AU ‘’AUDITORY CORTEX’’ 500

TATIZOLINALOSABABISHWA NA BRAIN PLASTICITY!!! 501

Kutoka Kwenye Ubongo ‘’Cerebral Cortex’’ 502

Namna Ubongo Unavyojikinga Na Sauti Kali Endelevu!! 502

Sehemu Ya Muziki Katika Ubongo. 503

ENEO LA KUCHAMBUA LUGHA NA KUZALISHA SAUTI YOTE, YANACHANGAMANA NA UBONGO WA SAUTI 505

SURA YA 7 506

SAYANSI YA UBONGO YA MUZIKI ‘’NEUROSCIENCE OF MUSIC’’ 506

Utangulizi 506

PREDICTIVE CODING MODEL 506

SYNCOPATION 510

MELODY 511

HARMONY 511

RHYTHM 512

MATOKEO YA SYNCOPATION 513

RHYTHM NA METER 515

LADHA YA MUZIKI ‘’GROOVE’’ 515

POLYRHYTHMS 516

I.Triple Meter 517

Ii.Duple Meter. 517

MUZIKI NA HISIA ZA KUSOGEA, TEMBEA AU CHEZA ‘’URGE TO MOVE’’ 518

MIMESIS 519

KUCHEZA ILI KUONGEZA ATTENTION 519

ENTRAINMENT NA EMBODIEMENT 520

JE WAJUA SABABU YA KUKINAI MUZIKI!! 521

DYNAMIC ATTENDING THEORY ‘’DAT’’ 521

SURA YA 8 522

SAYANSI YA UDANGANYIFU WA MASIKIO NA UBONGO 522

Utangulizi. 522

SIFA KUU YA MFUMO WA KUSIKIA 523

KWANINI KUNA UHUSIANO WA KUSIKIA NA KUFIKIRIA 524

JE WAJUA SIFA ZA UVIVU WA KUSIKILIZA! 526

UBONGO KIPINDI CHA KUFIKIRIA NA KUVUTA TASWIRA. 527

TRIKI NA MADHARA YA KUSIKILIZA MIZIKI YA MIDUNDO HASA YA MISISIMKO 530

SAUTI INAVYOATHIRI MAUMBO YA MAJI 530

MSINGI WA KWANZA WA UHARIBIFU KATIKA MIZIKI YA MIDUNDO!! 533

UTAFITI WA MADHARA YA SAUTI KUBWA KATIKA AFYA 535

Sauti Na Ukuaji Kwa Viumbe. 536

Sauti Na Madhara Ya DNA 536

Uwepo Wa Genes Mbili Za Mekaniki Mfano  (Sauti) Tu! 537

Sauti Na Mabadiliko Ya Maumbo Ya Protini 537

Sauti Na Neva Za Fahamu 538

MUZIKI NA KULA SANA NA ONGEZEKO LA UZITO 538

MUZIKI WA POLE HUSHUSHA PRESHA KWA WENYE PRESHA 539

MABADILIKO YA MUZIKI TOKA 440-432Hz HUPELEKEA KUSHUKA KWA PRESHA NA HALI YA KUTULIA YA MWILI 539

MUZIKI WA 440HZ NA HISIA MBAYA KAMA HASIRA 540

MABADILIKO YA MAWIMBI YA MUZIKI NA MADHARA KATIKA DNA 540

BADO SEHEMU KUBWA HAIFAHAMIKI KUHUSU UTENDAJI WA MUZIKI 541

MADHARA YA MUZIKI KATIKA SAIKOLOJIA YA WASIKILIZAJI 542

Utangulizi 542

MISINGI YA UHARIBIFU WA SAIKOLOJIA ZA WATU KUPITIA MUZIKI 546

KUTUMIA MABITI YA NYIMBO ZENYE MIDUNDO KUONDOA UWEZO WA KUTAFAKARI 546

KWANINI WATU WANACHEZA 547

SAYANSI  YA MUZIKI ILIYOFICHIKA YA UTOFAUTI WA NYIMBO ZA MIDUNDO YA KUCHEZA NA NYIMBO ZA UTULIVU. 549

SIRI YA UBONGO WASIYOIJUA WASANII NA WAPENZI WA NYIMBO ZA KIZAZI KIPYA 551

JE KUCHEZA NI VIBAYA?? 553

KUCHEZA SIO KUSHANGIILIA!! 554

SIO NYIMBO ZOTE ZISIZO ZA DINI ZINA MADHARA NA SIO KILA NYIMBO YA DINI HAINA MADHARA. 555

JE WAJUA KUNA NYIMBO ZA DINI ZILIZOJAA RHYTHMS!! 556

JE WAJUA: MSIFU MUNGU KWA KUCHEZA!!! Neno Kucheza Sio ‘’DANCE’’ Ni KIFAA!!! 557

URAIBU WA MIDUNDO SEHEMU YA KWANZA 558

SIFA YA NYIMBO ZENYE MELODY NYINGI ZAIDI YA RHYTHMS 559

JE WAJUA MABITI YOTE YA KUCHEZA HUFANANA?? 559

USHAHIDI WA NJE WA WATU KUKOSA UWEZO WA KUTAFAKARI KUPITIA MAPIGO YA MABITI 560

KUTUMIA KUCHANGANYIKIWA KWA WATU KUINGIZA TABIA MBAYA HASA ZA UHURU WA TABIA ZA KICHAFU 563

FALSAFA TATU KATIKA ZAMA ZA MUZIKI NA SAYANSI KATIKA ZAMA ZA USASA 564

PRE-MODERN ERA ( Tokea Zamani Za Kale Mpaka 1789) 564

MODERN ERA (Tokea Zama Za 1789 Mpaka 1970) 566

MWANAMAPINDUZI HASI ASIYESEMWA!!! 570

SABABU ZA KUTUMIA TAARIFA ZA MIHEMKO YA UCHAFU 574

POST-MODERN ERA (Kuanzia 1970 Mpaka Leo) 576

KILICHOFELISHA ZAMA ZA MODERN ERA 576

KUZALIWA KWA ZAMA ZA POST-MODERN ERA 577

SIRI NYUMA YA MSUKUMO WA VIPAUMBELE VYA ELIMU 578

SIFA ZA ZAMA ZA POST-MODERN ERA 579

KAZI YA MUZIKI KAMA MSINGI KATIKA ZAMA MPYA 580

Kufanya Vitu Kitofauti."Kisanii" 581

Kutegwa Kutamani Umaarufu Kama Mafanikio Toka Kwa Mashabiki 582

HALI ZA WASANII MAARUFU ZISIZOSEMWA! 584

Kuaminishwa Kuwa Mapenzi Ni Mazuri Kuliko Ndoa. 584

NAMNA JAMII INAVYOHARIBIWA SAIKOLOJIA KWA KUSIKILIZA NYIMBO HIZI 585

TAALUMA YA KUINGIZA MITAZAMO KATIKA UBONGO WA MSIKILIZAJI BILA MSIKILIZAJI KUJITAMBUA 585

KUTUMIA MABITI YA MAWIMBI YA MIHEMKO YA KINGONO NA SAUTI ZA MIVUTO YA HISIA 587

VIDEO ZA MIZIKI YA MIDUNDO, TAA ZA MIANGA HAFIFU NA MAONESHO YA TASWIRA ZA KIMIVUTO YA MAPENZI 588

SURA YA 9 590

MBINU ZA KUTRIKI UBONGO KISAIKOLOJIA 590

SAYANSI YA KUTRIKI UBONGO KUPITIA MAGEMU NA MICHEZO 590

MAGEMU 593

MICHEZO (URAIBU WA UTAZAMAJI) 597

JE WAJUA TOFAUTI ZA MASHABIKI NA WACHEZAJI 600

SAYANSI YA KUTRIKI UBONGO KUPITIA PESA 601

Triki Za Ubongo Kwa Njia Yapesa’ 602

HISABATI YA KAMALI 603

SURA YA 10 608

MATUMIZI YA  BIDHAA ZA G.M.O NA MWISHO WA STORI YA BINADAMU  ‘’UKOLONI WA AFYA USIO NA KINGA’’ 608

L-TRYPTOPHAN 612

GHAFLA TAARIFA ZAIDI!! 613

KUTAFUTA CHANZO CHA TATIZO!!!! 614

UZALISHAJI WA L-TRYPTOPHAN 615

HATARI KWA VIWANDA VYA MABADILIKO YA KIJENETIKIA!!!!!!!! 617

KUJITETEA KIJANJA KWA KAMPUNI LA SHOWA DENKO!!!!! 618

USHAHIDI WA UWEPO WA KESI KABLA YA MLIPUKO WA STRAIN V 620

FDA NYUMA YA MCHEZO!!!! 621

WAGONJWA WALIOKUWA KABLA YA KUJULIKANA RASMI!!! 623

JIBU LA FDA LA KWANZA!!! 623

MSIMAMO WA FDA 624

UFUPI KUHUSU MAONO FEKI NA MALENGO  FEKI YA GENETIC ENGINEERING  KWA UMMA 624

UDANGANYIFU MKUBWA WA MIFUMO YOTE YA FAHAMU 625

SURA YA 11 627

SAYANSI  YA UDANGANYIFU NA UUAJI HATARI ZAIDI WA BIDHAA ZA MABADILIKO YA KIJENETIKIA 627

G.M.O ‘’GENETIC MODIFIED ORGANISMS’’ 627

MSINGI KATIKA KUELEWA SAYANSI GENES!!! 629

KUHAMISHA GENES KUTOKA KWA KIUMBE MMOJA KWENDA KWA MWINGINE 633

MFANO WA MAAJABU YA HII TEKNOLOJIA 634

KUCHELEWESHA KIFO KWA MSAADA WA GENETIC ENGINEERING!!! 635

SAYANSI YA MOTO KATIKA UJENZI WA KIJENETIKIA INAYO UMBUA WATAALAMU WA G.E!!!! 635

KUEGEMEA KATIKA NADHARIA ZILIZOPITWA NA WAKATI 635

KWANINI HILI NI PIGO LA KWANZA KWA GENETIC ENGINEERS? 637

UWEPO WA CHEMBECHEMBE ZINAZOITWA ‘’SPLICEOSOMES’’ 638

PIGO KWA WATAALAMU WA G.E! 638

WATAALAMU WA G.E WAJITETEA NA KUFELI TENA!! 639

CHA AJABU Wanarejea Spliceosomes!! 639

MOLEKULI ZA KUSAPOTI PROTINI!! 640

TATIZO LA PROTINI Kwa Genetic Engineering!! 640

UWEPO WA VIBORESHA PROTINI ‘’CHAPERONES’’ 641

TATIZO LA CHAPERONES KWA G.E!!! 642

KUCHEZA NA DNA ZA VIUMBE!!!! 642

Namna Kadhaa Za Kuingiza Genes Katika DNA 643

KUFELI KWA DAWA ‘’Antibiotic Resistance’’ Na KUSAMBAA KWA GENES MPYA 644

TATIZO Kwa Kutumia Antibiotic Resistant Marker!!! 645

KUFELI WA MTAZAMO WA GE Juu Ya ARM!!! 645

SHIDA YA SWITCH ZA KIJENETIKIA ‘’PROMOTER ‘’ 646

SULUHISHO LA G.E AMBALO NDIYO MAUAJI YA JENETIKIA YA MWILI!!! 647

G.E NA KUAMSHWA KWA HATARI ZILIZOLALA!!! 648

MADHARA YA MAHALI AMBAPO GENES HIZI HUTUA!!! 649

KUHUSU KIRUSI WA Camv PROMOTER !!! 650

GENES ZA KUTENGENEZA!!! 650

MATOKEO TOFAUTI YA GENES!!! 650

KUHARIBU MFUMO MZIMA WA UHUSIANO WA MWILI!!! 651

KUHARIBU MFUMO WA CODE ZA MWILI!!! 651

KUJAA KWA GENES MBALIMBALI!!! ‘’Gene Stacking’’ 651

KUBADILI VIWANGO VYA VIRUTUBISHO KWA MIMEA 652

ALLERGY!!! 652

MATATIZO YA KIBINADAMU NA GIZA LA MAARIFA!!! 653

Mshindi Wa Nobel Prize George Ward 653

SURA YA 12 656

SAYANSI YA  KISASA ZAIDI YA KUBADILISHA UBINADAMU WA WATU NA VIUMBE HAI WENGINE ‘’HUMAN GENOME EDITING’’ 656

HISTORIA FUPI 656

MATATIZO YA KWANZA KABISA YA KIMTAZAMO YALIYOATHIRI HATA WATAALAMU WA LEO!! 658

MISINGI YA KUZINGATIA KABLA YA KUELEWA ‘’GENOME EDITING’’ 659

MTAZAMO ULIOPITWA WAKATI WA MENDEL  WA MWAKA 1856-1863 659

Mifano Ya Kufeli Kwa Mendel 661

UPANA WA KIJENETIKIA TOFAUTI NA MTAZAMO WA MENDEL ‘’WADDINGTON’’ 1957 661

HAKUNA UHUSIANO WA MOJA KWA MOJA KATI YA GENE NA SIFA FULANI ‘’THOMAS WOODWARD NA JAMES P.GILLS’’ 666

MSINGI WA KUELEWA UNAOITWA ‘’WEISMANN BARRIER’’ 667

MTAZAMO ULIOPITWA NA WAKATI WA DNA KAMA MSINGI WA MAISHA. ‘’Genetic Determinism’’. 668

TEKNOLOJIA YA KUBADILISHA GENES ZA VIUMBE ‘’GENE EDITING TECHNOLOGY’’ 672

‘’CRISPR-CAS 9 SYSTEM’’ 672

Ushindi Wa Nobel Prize 2020 Kwa CRISPR-Cas9 673

DNA ZA PHAGES ZIKISHAWEKWA KWENYE SPACER!!! 676

ULINZI UNAVYOKUWA PHAGE AKIINGIZA DNA YAKE!!! 677

NA WANABIOLOJIA WAKAIGA UTAALAMU WA KUKATA DNA ILI KUIBORESHA! 677

NAMNA DNA INAJIPONESHA AU PONESHWA BAADA YA KUIKATA KWA KUTUMIA CRISPR CAS 9 678

NJIA YA KWANZA: NHEJ 679

CHANGAMOTO KATIKA KUJIRUDI KWA DNA BAADA YA KUIKATA AU EDIT 679

NJIA YA PILI: HDR 682

WANABIOLOJIA WANAVYOTUMIA MBINU HIZI KUINGIZA GENES ZAO WANAZOZITAKA KWA KIUMBE 686

UMEGUNDUA NAMNA DNA YAKO INAVYOWEZA DANGANYWA!!!! 687

FAIDA ZA HII TEKNOLOJIA YA KUEDIT GENE NI ZIPI!! 687

MIPAKA YA HII TEKNOLOJIA!!! 688

HATARI ZA SAYANSI YA MABADILIKO YA KIJENETIKIA KWA JAMII ZA BINADAMU!!!! 689

Daktari Wa China Aliyebadili Genes Za Mtoto 689

SAYANSI ZA FIKRA NA MAJARIBIO YA KUUMBA BINADAMU WENYE UWEZO MAALUMU 690

SAYANSI ZA FIKRA NA MAJARIBIO YA KUZUIA KIFO 691

MATATIZO HALISI YA TEKNOLOJIA YA KUEDIT GENES ZA WATU 692

YANA HARIBU NA KUHATARISHA KULIKO WATU WANAVYOJUA 692

YANA HATARISHA KUHARIBU VIZAZI VYA WATU KAMA WATU WABAYA WATAAMUA KUHARIBU JUMUIYA KUBWA!!!! 694

CHANJO ZISIZOTHIBITISHWA!!! 694

VINYWAJI, MADAWA NA VITU VYENYE MASHAKA 694

KWANINI NIMETUMIA SAYANSI SANA NISIZUNGUMZIE  TU JUU JUU!! 695

  Kupata full soft copy link👇👇👇

Pay Now